エピソード

  • Hadithi iliyopuuzwa: Huduma yawa Aboriginal na wana Visiwa wa vya Torres Strait katika siku ya ANZAC
    2026/04/20
    Siku ya ANZAC ni moja ya siku muhimu zaidi za kitaifa nchini Australia. Kila mwaka, watu hukusanyika kuwakumbuka waliohudumu katika vita, migogoro na misheni za kulinda amani.
    続きを読む 一部表示
    11 分
  • Taarifa ya Habari: DRC na M23 wa afikiana kuhusu hatua muhimu za kibinaadamu
    2026/04/20
    Mweka Hazina wa taifa Jim Chalmers anasema atafanya mazungumzo na serikali za majimbo na mikoa, kuhusu kupunguza ukuaji wa Mfumo wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu (NDIS).
    続きを読む 一部表示
    6 分
  • Wiki Hii Afrika: CHADEMA chafungua ofisi zake tena Tanzania baada yakupigwa marufuku
    2026/04/20
    Mahakama ya rufaa ime ondoa marufuku dhidi ya viongozi wa CHADEMA kushiriki katika maswala ya siasa Tanzania.
    続きを読む 一部表示
    7 分
  • Nicky "Mwaka huu Taunet imelenga kufunza watoto wetu lugha na utamaduni wetu"
    2026/04/17
    Wanachama wa shirika la Taunet Nelel Melbourne, wame andaliwa sherehe maalum na viongozi wao.
    続きを読む 一部表示
    14 分
  • Taarifa ya Habari 17 Aprili 2026
    2026/04/17
    Waziri wa Nishati Chris Bowen anasema uzalishaji wa petroli katika kiwanda cha kusafishia mafuta cha Geelong utaathiriwa kufuatia tukio la moto mapema wiki hii, lakini mmiliki wa kiwanda hicho ana uhakika wa kubadilisha tofauti hiyo na uagizaji.
    続きを読む 一部表示
    13 分
  • SBS Learn Eng Ep 106 Kuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufahamu
    2026/04/17
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu vyakula ambavyo haufamu?
    続きを読む 一部表示
    9 分
  • Makala Leo: Sera tata ya uhamiaji ya kiongozi wa upinzani Angus Taylor yakosolewa vikali
    2026/04/17
    Kiongozi wa upinzani Angus Taylor ameelezea sera mpya ya uhamiaji yenye msimamo mkali ya Upinzani wa Mseto
    続きを読む 一部表示
    13 分
  • Taarifa ya Habari: Zima moto wakabiliana na moto mkubwa katika kiwanda cha kusafisha mafuta
    2026/04/16
    Kuna ripoti za uharibifu mkubwa kwa moja ya viwanda viwili vya mwisho vya kusafisha mafuta vilivyosalia nchini Australia, kikosi cha zimamoto kikiitikia moto uliozuka katika eneo la kampuni ya Viva Energy Group karibu na Geelong.
    続きを読む 一部表示
    6 分